Boris Spassky, upande wa weusi
Bobby Fischer, upande wa weupe
Cheza tena michezo ya kihistoria ya sataranji
Fischer dhidi ya Spassky, mchezo wa 6
Unacheza upande wa weupe wa Bobby Fischer dhidi ya Boris Spassky katika mchezo wa sita wa ubingwa wa dunia wa 1972.
